❞ كتاب RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI ❝  ⏤ Swalehe Muhammad Kayamboo

Hiki ni kitabu kilichotayarishwa kwa lengo la kuwapatia wasomaji, suluhisho la
matatizo wanayoyapata watu wengi wanapotaka kufahamu ni ipi Dini ya Haki.
Utayarishaji wa kitabu hiki, unatokana na utafiti katika kitabu cha Biblia na Qur'an,
sio tu kwa sababu vitabu hivi viwili ndivyo vitabu mashuhuri vya dini ulimwenguni,
bali kwa sababu ndivyo vimebeba ndani yake ushahidi kuhusu tofauti iliyopo baina ya
maneno ya Mungu na maneno ya Mitume na Manabii. Na ndivyo pia vinavyoweza
kutumika kudhihirisha baadhi ya maneno ya wasomi yaliyoandikwa kisha baadhi ya
watu wakadai kuwa ni maneno ya Mungu, ili wapate kuwapotosha wale ambao

hawajui kusoma vyema.

Hiki ni kitabu kilichotayarishwa kwa lengo la kuwapatia wasomaji, suluhisho la matatizo wanayoyapata watu wengi wanapotaka kufahamu ni ipi Dini ya Haki.
Swalehe Muhammad Kayamboo - ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI ❝ ❱
من كتب إسلامية باللغة السواحلية كتب إسلامية بلغات أخرى - مكتبة كتب إسلامية.

نبذة عن الكتاب:
RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI

Hiki ni kitabu kilichotayarishwa kwa lengo la kuwapatia wasomaji, suluhisho la
matatizo wanayoyapata watu wengi wanapotaka kufahamu ni ipi Dini ya Haki.
Utayarishaji wa kitabu hiki, unatokana na utafiti katika kitabu cha Biblia na Qur'an,
sio tu kwa sababu vitabu hivi viwili ndivyo vitabu mashuhuri vya dini ulimwenguni,
bali kwa sababu ndivyo vimebeba ndani yake ushahidi kuhusu tofauti iliyopo baina ya
maneno ya Mungu na maneno ya Mitume na Manabii. Na ndivyo pia vinavyoweza
kutumika kudhihirisha baadhi ya maneno ya wasomi yaliyoandikwa kisha baadhi ya
watu wakadai kuwa ni maneno ya Mungu, ili wapate kuwapotosha wale ambao

hawajui kusoma vyema.

Hiki ni kitabu kilichotayarishwa kwa lengo la kuwapatia wasomaji, suluhisho la matatizo wanayoyapata watu wengi wanapotaka kufahamu ni ipi Dini ya Haki. .
المزيد..

تعليقات القرّاء:

Hiki ni kitabu kilichotayarishwa kwa lengo la kuwapatia wasomaji, suluhisho la
matatizo wanayoyapata watu wengi wanapotaka kufahamu ni ipi Dini ya Haki.
Utayarishaji wa kitabu hiki, unatokana na utafiti katika kitabu cha Biblia na Qur'an,
sio tu kwa sababu vitabu hivi viwili ndivyo vitabu mashuhuri vya dini ulimwenguni,
bali kwa sababu ndivyo vimebeba ndani yake ushahidi kuhusu tofauti iliyopo baina ya
maneno ya Mungu na maneno ya Mitume na Manabii. Na ndivyo pia vinavyoweza
kutumika kudhihirisha baadhi ya maneno ya wasomi yaliyoandikwa kisha baadhi ya
watu wakadai kuwa ni maneno ya Mungu, ili wapate kuwapotosha wale ambao

hawajui kusoma vyema.

Mwandishi anatarajia kwamba kitabu hiki kitaweza kutumika kama hatua ya kwanza
ya kutayarisha maisha bora katika jamii zinazozungumza lugha ya Kiswahili. Hayo ni
kwa sababu, hatua ya kwanza katika kuishi maisha bora wakati wote huwa kwanza ni
kumfahamu vyema Mola wa Ulimwengu na kisha kujitahidi kuishi katika njia ya

haki.

Mwanzo wa kuishi katika njia ya haki ni kumwamini Mungu na kuwaamini wote

wale aliyowatuma na kuwatii.

Kwa hivyo, lengo la kitabu hiki ni kumsaidia msomaji kwa risala hii fupi ya

kumuwezesha kupambanua ni ipi dini ya haki.

 Hiki ni kitabu kilichotayarishwa kwa lengo la kuwapatia wasomaji, suluhisho la matatizo wanayoyapata watu wengi wanapotaka kufahamu ni ipi Dini ya Haki.

حجم الكتاب عند التحميل : 145.8 كيلوبايت .
نوع الكتاب : pdf.
عداد القراءة: عدد قراءة RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI

اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني
و يمكنك تحميله من هنا:

تحميل RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI
شكرًا لمساهمتكم

شكراً لمساهمتكم معنا في الإرتقاء بمستوى المكتبة ، يمكنكم االتبليغ عن اخطاء او سوء اختيار للكتب وتصنيفها ومحتواها ، أو كتاب يُمنع نشره ، او محمي بحقوق طبع ونشر ، فضلاً قم بالتبليغ عن الكتاب المُخالف:

برنامج تشغيل ملفات pdfقبل تحميل الكتاب ..
يجب ان يتوفر لديكم برنامج تشغيل وقراءة ملفات pdf
يمكن تحميلة من هنا 'http://get.adobe.com/reader/'

المؤلف:
Swalehe Muhammad Kayamboo - SWALEHE MUHAMMAD KAYAMBOO

كتب Swalehe Muhammad Kayamboo ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI ❝ ❱. المزيد..

كتب Swalehe Muhammad Kayamboo