❞ كتاب KUFICHUA YENYE UTATA ❝  ⏤ محمد بن عبد الوهاب

❞ كتاب KUFICHUA YENYE UTATA ❝ ⏤ محمد بن عبد الوهاب

Bismillaah. Shukran zote zastahiki kuregea Kwake Yeye (وتعالى سبحانه (Muumba mbingu
na ardhi na vilivyomomo ndani yake. Ni Yeye peke Yake Anastahiki kuabudiwa kwa
haki na kutoshirikishwa na kitu chochote katika ́Ibaadah Zake, Asiyekuwa na mfano
ambaye Hafananishwi na kitu chochote.
Na Swalah na salaam zimfikie Mtume Muhammad (وسلم عليه هللا صلى (alosimama
kuitangaza Tawhiyd tokea kutumilizwa kwake mpaka pumzi zake za mwisho za
maisha yake, akafikisha ujumbe wa Mola Wake Aloamrishwa na Maswahabah wake
na kila wenye kuwafuata kwa wema mpaka siku ya Qiyaamah. Amma ba ́ad:
Hakika Tawhiyd ndio msingi wa Uislamu uliyojengwa juu yake. Na hapana shaka ni
jambo muhimu kwa kila Muislamu kuijua na kuitekeleza kwa kuwa haitokubaliwa
́Ibaadah ya Muislamu yoyote bila ya Tawhiyd na wala hazitokubaliwa ́amali ya
Muislamu ikiwa haitokuwa ya kumpwekesha Allaah wala kwenda kwa kulingana na
mafundisho ya Mtume Muhammad (وسلم عليه هللا صلى (na wala hatopata Shafaa ́ah
(uombezi) wa Mtume Muhammad ila yule aliyekuwa katika msimamo wa Tawhiyd.
Na katoa ahadi Mtume kuwa yoyote atakayekuwa neno lake la mwisho katika
ulimwengu huu ni Kalimat at-Tawhiyd “laa ilaaha illa Allaah” ataingia Peponi.
Twamuomba Allaah Atukhatimishe juu ya msimamo wa Tawhiyd.
Hakika umuhimu wa Tawhiyd ni mkubwa na ndio lengo kubwa walilotumilizwa nalo
Mitume likawafanya Maswahabah wasafiri miji mbali mbali kwa ajili ya kufikisha
Ujumbe huu wa Tawhiyd kwa watu mbali na mitihani mbali mbali iliyowapata,
mpaka wakaja wanavyuoni ambao wamesimama kuitetea na kuifikisha. Mmoja wao
akiwa ni Mujaddid wa karne, yeye ni Shaykh Muhammad bin ́Abdil-Wahhaab
(Allaah Amrehemu) ambaye tarehe yake yajulikana na alivyoisafisha bara Arabu na
ushirikina pamoja na vita alivyopigwa mpaka akaweza kufaulu. Na moja ya kazi
aliyoifanya mbali na kulingania watu katika Tawhiyd, aliandika vitabu mbali mbali

vya Tawhiyd vilivyopendwa na watu. Moja wapo ni Kitabu hiki cha Kashf-ush-
Shubuhaat. Kitabu ambacho amefichukua na kuweka wazi shubuha (utata) wa

washirikina walokuwa wakizitumia kuutetea ushirikina wao zama hizo. Kitabu
ambacho kimeshereheshwa na kufafanuliwa na wanavyuoni mbali mbali.

Na leo tumshukuru kijana wetu mpendwa al-Akh Abu Bakr Khatwiyb al-Atrush as-
Salafiy Allaah amuhifadhi na kumuongoza yeye na sisi sote katika njia hii iliyonyooka

kwa kazi nzuri aloifanya kukitafsiri kitabu hiki kwa lugha ya kiswahili, ili wanufaike

Kashf-ush-Shubuhaat

Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ́Abdil-Wahhaab

Kitabu hiki kinazunguzia kufichua kuyaweka wazi mambo yenye utata
محمد بن عبد الوهاب - مُحَمَّدُ بنُ عَبْدِ الوَهَّابِ بنِ سُلَيْمَانَ التَّمِيْمِيُّ (1115 - 1206هـ) (1703م - 1791م) عالم دين سني حنبلي، يعتبره البعض من مجددي الدين الإسلامي في شبه الجزيرة العربية حيث شرع في دعوة المسلمين للتخلص من البدع والخرافات ونبذ الشرك التي انتشرت في أطراف الدولة العثمانية حول ولاية الحجاز وولاية اليمن والربع الخالي.

ولد في العيينة وسط نجد سنة 1115 هـ الموافق من عام 1703م، لأسرة ينسب إليها عدد من علماء الدين، كان جدُّه سليمان بن علي بن مشرف من أشهر العلماء في الجزيرة العربية في عصره، وكذلك كان والده عالمًا فقيهًا على مذهب الإمام أحمد بن حنبل وأحد القضاة المعروفين، فقد تولَّى القضاء في عدَّة جهات؛ مثل: العيينة وحريملاء، وكان عمُّه الشيخ إبراهيم بن سليمان من مشاهير العلماء في تلك البلاد.

❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ التوحيد ❝ ❞ التوحيد الذي هو حق الله على العبيد ❝ ❞ التوحيد ( طبعة متميزة ) ❝ ❞ كشف الشبهات في التوحيد ❝ ❞ مؤلفات الشيخ الإمام محمد بن عبد الوهاب ❝ ❞ الأصول الثلاثة وشروط الصلاة والقواعد الأربع وكتاب التوحيد وكشف الشبهات والواجبات المتحتمات والأربعون النووية ❝ ❞ بداية سيرة الرسول صلى الله عليه وسلم ❝ ❞ متن نواقض الإسلام ❝ ❞ إعلام الأنام بشرح كتاب فضل الإسلام ❝ الناشرين : ❞ مكتبة الملك فهد الوطنية ❝ ❞ موقع دار الإسلام ❝ ❞ دار الإسلام للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار طيبة للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار القاسم للنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتبة العلوم والحكم ❝ ❞ جامعة الملك سعود ❝ ❞ مكتبة الاسدى للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الإيمان للطبع والنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتب الدعوة بالربوة ❝ ❞ جامعة الإمام محمد بن سعود الإسلامية ❝ ❞ وزارة الأوقاف والشئون الإسلامية - السعودية ❝ ❞ مكتبة التوبة ❝ ❞ دار العقيدة ❝ ❞ وزارة الشؤون الإسلامية والدعوة والإرشاد ❝ ❞ دار العلم ❝ ❞ دار المؤيد ❝ ❞ وزارة الشئون الاسلامية ❝ ❞ المركز الإسلامي للطباعة والنشر ❝ ❞ دار أنس بن مالك للنشر و التوزيع ❝ ❱
من كتب إسلامية باللغة السواحلية كتب إسلامية بلغات أخرى - مكتبة كتب إسلامية.

نبذة عن الكتاب:
KUFICHUA YENYE UTATA

2013م - 1445هـ

Bismillaah. Shukran zote zastahiki kuregea Kwake Yeye (وتعالى سبحانه (Muumba mbingu
na ardhi na vilivyomomo ndani yake. Ni Yeye peke Yake Anastahiki kuabudiwa kwa
haki na kutoshirikishwa na kitu chochote katika ́Ibaadah Zake, Asiyekuwa na mfano
ambaye Hafananishwi na kitu chochote.
Na Swalah na salaam zimfikie Mtume Muhammad (وسلم عليه هللا صلى (alosimama
kuitangaza Tawhiyd tokea kutumilizwa kwake mpaka pumzi zake za mwisho za
maisha yake, akafikisha ujumbe wa Mola Wake Aloamrishwa na Maswahabah wake
na kila wenye kuwafuata kwa wema mpaka siku ya Qiyaamah. Amma ba ́ad:
Hakika Tawhiyd ndio msingi wa Uislamu uliyojengwa juu yake. Na hapana shaka ni
jambo muhimu kwa kila Muislamu kuijua na kuitekeleza kwa kuwa haitokubaliwa
́Ibaadah ya Muislamu yoyote bila ya Tawhiyd na wala hazitokubaliwa ́amali ya
Muislamu ikiwa haitokuwa ya kumpwekesha Allaah wala kwenda kwa kulingana na
mafundisho ya Mtume Muhammad (وسلم عليه هللا صلى (na wala hatopata Shafaa ́ah
(uombezi) wa Mtume Muhammad ila yule aliyekuwa katika msimamo wa Tawhiyd.
Na katoa ahadi Mtume kuwa yoyote atakayekuwa neno lake la mwisho katika
ulimwengu huu ni Kalimat at-Tawhiyd “laa ilaaha illa Allaah” ataingia Peponi.
Twamuomba Allaah Atukhatimishe juu ya msimamo wa Tawhiyd.
Hakika umuhimu wa Tawhiyd ni mkubwa na ndio lengo kubwa walilotumilizwa nalo
Mitume likawafanya Maswahabah wasafiri miji mbali mbali kwa ajili ya kufikisha
Ujumbe huu wa Tawhiyd kwa watu mbali na mitihani mbali mbali iliyowapata,
mpaka wakaja wanavyuoni ambao wamesimama kuitetea na kuifikisha. Mmoja wao
akiwa ni Mujaddid wa karne, yeye ni Shaykh Muhammad bin ́Abdil-Wahhaab
(Allaah Amrehemu) ambaye tarehe yake yajulikana na alivyoisafisha bara Arabu na
ushirikina pamoja na vita alivyopigwa mpaka akaweza kufaulu. Na moja ya kazi
aliyoifanya mbali na kulingania watu katika Tawhiyd, aliandika vitabu mbali mbali

vya Tawhiyd vilivyopendwa na watu. Moja wapo ni Kitabu hiki cha Kashf-ush-
Shubuhaat. Kitabu ambacho amefichukua na kuweka wazi shubuha (utata) wa

washirikina walokuwa wakizitumia kuutetea ushirikina wao zama hizo. Kitabu
ambacho kimeshereheshwa na kufafanuliwa na wanavyuoni mbali mbali.

Na leo tumshukuru kijana wetu mpendwa al-Akh Abu Bakr Khatwiyb al-Atrush as-
Salafiy Allaah amuhifadhi na kumuongoza yeye na sisi sote katika njia hii iliyonyooka

kwa kazi nzuri aloifanya kukitafsiri kitabu hiki kwa lugha ya kiswahili, ili wanufaike

Kashf-ush-Shubuhaat

Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ́Abdil-Wahhaab

Kitabu hiki kinazunguzia kufichua kuyaweka wazi mambo yenye utata .
المزيد..

تعليقات القرّاء:

Utangulizi wa mpitiaji ...................................................................................................................................... 4
Historia Fupi Ya Imaam Muhammad bin 'Abdil-Wahhaab........................................................................ 5
Mlango Wa 1 .................................................................................................................................................... 11
Lengo la kutumwa Mitume ( ́alayhimus-Salaam)...................................................................................... 11
Mlango Wa 2 .................................................................................................................................................... 12
Dalili ya kwamba washirikina ambao Mtume ( ́alayhis-Salaam) aliwapiga vita walikuwa wanakiri
Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah ............................................................................................................................. 12
Mlango Wa 3 .................................................................................................................................................... 14
Tawhiyd al- ́Ibaadah ndio maana ya “Laa ilaaha illa Allaah”.................................................................. 14
Mlango Wa 4 .................................................................................................................................................... 15
Neema ya Allaah kwa waja Wake juu ya Tawhiyd.................................................................................... 15
Mlango Wa 5 .................................................................................................................................................... 17
Maadui wa Mitume ( ́alayhimus-Salaam) na Mawalii wa Allaah ........................................................... 17
Mlango Wa 6 .................................................................................................................................................... 18
Wajibu wa kutafuta elimu.............................................................................................................................. 18
Mlango Wa 7 .................................................................................................................................................... 20
Radd (Jawabu) kwa watu wa batili kwa jumla na kwa kina..................................................................... 20
Ama jibu la kijumla ..................................................................................................................................... 20
Ama jibu la kina........................................................................................................................................... 21
Mlango Wa 8 .................................................................................................................................................... 24
Radd (Jawabu) kwa mwenye kudai kwamba Du ́aa sio  ́Ibaadah........................................................... 24
Mlango Wa 9 .................................................................................................................................................... 25
Tofauti kati ya Shafaa ́ah (Uombezi) wa Kishari ́ah na Shirki (Ushirikina) ........................................... 25
Mlango Wa 10 .................................................................................................................................................. 27
Uthibitisho ya kwamba kuwategemea watu wema ni Shirki ................................................................... 27
Mlango Wa 11 .................................................................................................................................................. 30
Uthibitisho ya kwamba Shirki ya watu wa mwanzo ni khafifu kuliko Shirki ya watu wa zama zetu
............................................................................................................................................................................ 30
Mlango Wa 12 .................................................................................................................................................. 32
Jibu kwa anayedai ya kwamba mwenye kutimiza nguzo za Uislamu hawezi kuwa kafiri................ 32
Mlango Wa 13 .................................................................................................................................................. 35
Hukumu ya Muislamu anaetumbukia kwenye Shirki bila ya kujua kisha akatubia ........................... 35
Mlango Wa 14 .................................................................................................................................................. 37

Kashf-ush-Shubuhaat

Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin  ́Abdil-Wahhaab

Radd (Jawabu) kwa mwenye kudai kukomeka na anayesema “Laa ilaaha illa Allaah” hata kama
ataleta yanayoivunja ....................................................................................................................................... 37
Mlango Wa 15 .................................................................................................................................................. 39
Tofauti kati ya kuomba msaada kwa aliye hai kahudhuria na kuomba msaada kwa asiyekuwa huyo
............................................................................................................................................................................ 39
Mlango Wa 16 .................................................................................................................................................. 41
Wajibu wa kuitekeleza Tawhiyd kwa moyo, na kwa ulimi na kwa vitendo.......................................... 41

Bismillaah. Shukran zote zastahiki kuregea Kwake Yeye (وتعالى سبحانه (Muumba mbingu
na ardhi na vilivyomomo ndani yake. Ni Yeye peke Yake Anastahiki kuabudiwa kwa
haki na kutoshirikishwa na kitu chochote katika  ́Ibaadah Zake, Asiyekuwa na mfano
ambaye Hafananishwi na kitu chochote.
Na Swalah na salaam zimfikie Mtume Muhammad (وسلم عليه هللا صلى (alosimama
kuitangaza Tawhiyd tokea kutumilizwa kwake mpaka pumzi zake za mwisho za
maisha yake, akafikisha ujumbe wa Mola Wake Aloamrishwa na Maswahabah wake
na kila wenye kuwafuata kwa wema mpaka siku ya Qiyaamah. Amma ba ́ad:
Hakika Tawhiyd ndio msingi wa Uislamu uliyojengwa juu yake. Na hapana shaka ni
jambo muhimu kwa kila Muislamu kuijua na kuitekeleza kwa kuwa haitokubaliwa
 ́Ibaadah ya Muislamu yoyote bila ya Tawhiyd na wala hazitokubaliwa  ́amali ya
Muislamu ikiwa haitokuwa ya kumpwekesha Allaah wala kwenda kwa kulingana na
mafundisho ya Mtume Muhammad (وسلم عليه هللا صلى (na wala hatopata Shafaa ́ah
(uombezi) wa Mtume Muhammad ila yule aliyekuwa katika msimamo wa Tawhiyd.
Na katoa ahadi Mtume kuwa yoyote atakayekuwa neno lake la mwisho katika
ulimwengu huu ni Kalimat at-Tawhiyd “laa ilaaha illa Allaah” ataingia Peponi.
Twamuomba Allaah Atukhatimishe juu ya msimamo wa Tawhiyd.
Hakika umuhimu wa Tawhiyd ni mkubwa na ndio lengo kubwa walilotumilizwa nalo
Mitume likawafanya Maswahabah wasafiri miji mbali mbali kwa ajili ya kufikisha
Ujumbe huu wa Tawhiyd kwa watu mbali na mitihani mbali mbali iliyowapata,
mpaka wakaja wanavyuoni ambao wamesimama kuitetea na kuifikisha. Mmoja wao
akiwa ni Mujaddid wa karne, yeye ni Shaykh Muhammad bin  ́Abdil-Wahhaab
(Allaah Amrehemu) ambaye tarehe yake yajulikana na alivyoisafisha bara Arabu na
ushirikina pamoja na vita alivyopigwa mpaka akaweza kufaulu. Na moja ya kazi
aliyoifanya mbali na kulingania watu katika Tawhiyd, aliandika vitabu mbali mbali

vya Tawhiyd vilivyopendwa na watu. Moja wapo ni Kitabu hiki cha Kashf-ush-
Shubuhaat. Kitabu ambacho amefichukua na kuweka wazi shubuha (utata) wa

washirikina walokuwa wakizitumia kuutetea ushirikina wao zama hizo. Kitabu
ambacho kimeshereheshwa na kufafanuliwa na wanavyuoni mbali mbali.

Na leo tumshukuru kijana wetu mpendwa al-Akh Abu Bakr Khatwiyb al-Atrush as-
Salafiy Allaah amuhifadhi na kumuongoza yeye na sisi sote katika njia hii iliyonyooka

kwa kazi nzuri aloifanya kukitafsiri kitabu hiki kwa lugha ya kiswahili, ili wanufaike

Kashf-ush-Shubuhaat

Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin  ́Abdil-Wahhaab

5

www.wanachuoni.com

ndugu zake Waislamu na elimu kama hii. Na twamuomba Allaah Ampe siha na afya
azidi kufasiri vitabu vingine vya Tawhiyd ili Ummah uzidi kuijua Tawhiyd na aijaalie
 ́amali hii katika mizani ya  ́amali yake siku ya Qiyaamah, amghufurie madhambi
yake yeye na wazee wake na jamii ya Waislamu.
Wa Swalah Allaahu  ́alaa Nabiyyinna Muhammad, wa  ́alaa aalihi wa Aswhaabihi wa sallam.

Musharrif Al-Wuhaybiy. Kabila lake ni Bani Tamiym. Amezaliwa mwaka 1115 H (1704
M) katika mji ya ‘Uyaynah kijiji cha Yamaamah ndani ya Najd, kaskazini Magharibi ya
mji wa Riyadhw, Saudi Arabia. Ametoka katika familia ya Wanavyuoni kwani baba
yake ‘Abdul-Wahhaab alikuwa ni Mwanachuoni maarufu wa Najd na Qaadhiy wa mji
huo.

Elimu Yake
Alijifunza kusoma Qur-aan alipokuwa na umri mdogo na akaihifadhi akiwa chini ya
umri wa miaka kumi. Na Allaah (وتعالى سبحانه (Alimjaalia kuwa na uhodari na akili nzuri,
wepesi wa kufahamu na kumaizi jambo au somo. Alipendezewa mno kusoma kazi za
Shaykhul-Islaam Ibn Taymiyyah na mwanafunzi wake Ibnul-Qayyim )هللا رحمهما.)
Alifanya bidii kwenye masomo yake na kuendelea kujifunza chini ya usimamizi wa
baba yake. Akajifunza elimu ya Dini chini ya Wanavyuoni walioko mjini mwake
wakiwemo baba yake na ‘ami yake. Alisafiri kutoka kwenda Madiynah kusoma chini ya
Wanavyuoni wakubwa wa huko wakiwemo; Shaykh ‘Abdullaah bin Ibraahiym bin

Ash-Shamariyyi, na Mwanachuoni maarufu wa India Shaykh Muhammad Hayaat Al-
Sindi.Alikwenda Makkah pia na alitekeleza Hajj. Hatimaye akaelekea Baswrah

(Kaskazini Iraq) kutafuta elimu zaidi akasoma chini ya Wanavyuoni wa huko akawa
maarufu kwa mijadala baina yake na Wanavyuoni.

Harakaat Na Mitihani
Watu wa Najd walikuwa katika shirki na bid’ah (uzushi). Walikuwa wakiabudu
miungu mingi na kuabudu makaburi, miti, mawe, mapango, majini na mashaytwaan,
waja wema waliojulikana kama ni mawalii. Uchawi na unajimu (utabiri wa nyota)
ulisambaa pia. Hakuna aliyekataza ‘Ibaadah potofu hizo kwani watu walikuwa katika
kuchuma manufaa na starehe za dunia zaidi na wakakhofia kuyapoteza hayo. Hivyo
Shaykh akaona umuhimu mkubwa uliohitajika kuwarudisha watu katika msimamo wa
Qur-aan na Sunnah. Akaanza kuwalingania watu katika Tawhiyd - kumpwekesha
Allaah (وتعالى سبحانه (bila ya kumshirikisha na lolote katika ‘Ibaadah. Akaazimia
kujitumikisha peke yake kwa uvumilivu katika konde. Akajua hakuna lolote
kitachofaulu kufanyika ila Jihaad katika Njia ya Allaah.
Shaykh alikumbana na mitihani, misukosuko, na vitisho, lakini alikuwa
ameshategemea hali hiyo kumfikia na alikuwa tayari kukabaliana nayo kwani
alitambua kuwa hilo ni jambo lisiloepukika kwa kila mlinganiaji kwani ndio hali
waliyokutana nayo Mitume wote, na Salafus-Swaalih (waja wema waliotangulia).

Kashf-ush-Shubuhaat

Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin  ́Abdil-Wahhaab

7

www.wanachuoni.com

Miongoni mwa mitihani aliyokumbana nayo ni kutokana na Wanavyuoni wadhaifu
wasiokuwa na hoja ambao walimpinga na kumfanya akabiliane na misukosuko, vitisho
na kukasirikiwa. Pia alikabiliana na misukosuko na mateso chini ya mikono ya
madhalimu wa Huraymilaa. Na alipowashawishi watawala kuwahukumu wadhalimu
kwa Shari’ah ya Kiislamu, ilisababisha baadhi ya watu kuyaweka maisha yake hatiani
lakini Allaah (وتعالى سبحانه (Alimnusuru.

 Kitabu hiki kinazunguzia kufichua kuyaweka wazi mambo yenye utata

سنة النشر : 2013م / 1434هـ .
حجم الكتاب عند التحميل : 1.3 ميجا بايت .
نوع الكتاب : pdf.
عداد القراءة: عدد قراءة KUFICHUA YENYE UTATA

اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني
و يمكنك تحميله من هنا:

تحميل KUFICHUA YENYE UTATA
شكرًا لمساهمتكم

شكراً لمساهمتكم معنا في الإرتقاء بمستوى المكتبة ، يمكنكم االتبليغ عن اخطاء او سوء اختيار للكتب وتصنيفها ومحتواها ، أو كتاب يُمنع نشره ، او محمي بحقوق طبع ونشر ، فضلاً قم بالتبليغ عن الكتاب المُخالف:

برنامج تشغيل ملفات pdfقبل تحميل الكتاب ..
يجب ان يتوفر لديكم برنامج تشغيل وقراءة ملفات pdf
يمكن تحميلة من هنا 'http://get.adobe.com/reader/'

المؤلف:
محمد بن عبد الوهاب - Mohammed bin AbdulWahab

كتب محمد بن عبد الوهاب مُحَمَّدُ بنُ عَبْدِ الوَهَّابِ بنِ سُلَيْمَانَ التَّمِيْمِيُّ (1115 - 1206هـ) (1703م - 1791م) عالم دين سني حنبلي، يعتبره البعض من مجددي الدين الإسلامي في شبه الجزيرة العربية حيث شرع في دعوة المسلمين للتخلص من البدع والخرافات ونبذ الشرك التي انتشرت في أطراف الدولة العثمانية حول ولاية الحجاز وولاية اليمن والربع الخالي. ولد في العيينة وسط نجد سنة 1115 هـ الموافق من عام 1703م، لأسرة ينسب إليها عدد من علماء الدين، كان جدُّه سليمان بن علي بن مشرف من أشهر العلماء في الجزيرة العربية في عصره، وكذلك كان والده عالمًا فقيهًا على مذهب الإمام أحمد بن حنبل وأحد القضاة المعروفين، فقد تولَّى القضاء في عدَّة جهات؛ مثل: العيينة وحريملاء، وكان عمُّه الشيخ إبراهيم بن سليمان من مشاهير العلماء في تلك البلاد. ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ التوحيد ❝ ❞ التوحيد الذي هو حق الله على العبيد ❝ ❞ التوحيد ( طبعة متميزة ) ❝ ❞ كشف الشبهات في التوحيد ❝ ❞ مؤلفات الشيخ الإمام محمد بن عبد الوهاب ❝ ❞ الأصول الثلاثة وشروط الصلاة والقواعد الأربع وكتاب التوحيد وكشف الشبهات والواجبات المتحتمات والأربعون النووية ❝ ❞ بداية سيرة الرسول صلى الله عليه وسلم ❝ ❞ متن نواقض الإسلام ❝ ❞ إعلام الأنام بشرح كتاب فضل الإسلام ❝ الناشرين : ❞ مكتبة الملك فهد الوطنية ❝ ❞ موقع دار الإسلام ❝ ❞ دار الإسلام للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار طيبة للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار القاسم للنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتبة العلوم والحكم ❝ ❞ جامعة الملك سعود ❝ ❞ مكتبة الاسدى للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الإيمان للطبع والنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتب الدعوة بالربوة ❝ ❞ جامعة الإمام محمد بن سعود الإسلامية ❝ ❞ وزارة الأوقاف والشئون الإسلامية - السعودية ❝ ❞ مكتبة التوبة ❝ ❞ دار العقيدة ❝ ❞ وزارة الشؤون الإسلامية والدعوة والإرشاد ❝ ❞ دار العلم ❝ ❞ دار المؤيد ❝ ❞ وزارة الشئون الاسلامية ❝ ❞ المركز الإسلامي للطباعة والنشر ❝ ❞ دار أنس بن مالك للنشر و التوزيع ❝ ❱. المزيد..

كتب محمد بن عبد الوهاب

كتب شبيهة بـ KUFICHUA YENYE UTATA:

قراءة و تحميل كتاب SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA PDF

SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA PDF

قراءة و تحميل كتاب SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA PDF مجانا