❞ كتاب Maswali YaliyowaongozaVijana wa Kishia Kuingia Katika Haki ❝  ⏤ سليمان بن الله الخراشي

❞ كتاب Maswali YaliyowaongozaVijana wa Kishia Kuingia Katika Haki ❝ ⏤ سليمان بن الله الخراشي

Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, aliyesema:
{Na kwa
hak
ika hii ndiyo Njia yangu Iliyonyooka.
Basi ifuateni, wala msifuate njia
nyingine,
zikakutengeni na Njia yake...
}
. [Sura [6] Al
-An‘aam 153].
Na
Rehema na
amani ziwe juu ya Mtume
wake wa mwisho
, aliyesema:
"Kwa hakika Bani Israeli waligawanyika makundi
sabini na moja, na
umma wangu utagawanyika makundi sabini na tatu. Makundi yote
yataingia motoni ispokuwa kundi moja." Akaulizwa: Ewe Mjumbe wa
Allah, ni kundi gani hilo? Mtume
(S.
A.W.
) akasema: Hilo ndi
lo kundi
am
balo
nimo mimi na Maswahaba
zangu
leo hii".
(
0F
1)
Ama baada ya haya:
Kwa hakika Allah
- kwa matakwa yake –
ametaka
Waislam
u
wagawanyike na kuwa makundi na madhehebu mbalimbali, wakifanyiana
uadui na vitimbi wao kwa wao, kwa kufanya hivyo wanakhalifu amri ya
Allah ya kurejesha tofauti zao katika kitabu cha Allah na Sunna za
Mtume
wake,
Rehema na
amani ziwe juu yake,
pale Allah
aliposema:
{...Na mkizozana katika jambo basi lirudisheni kwa Mwenyezi
Mungu na
Mtume
, ikiwa mnamuamini Mwenyezi Mungu na
Siku ya Mwisho. Hayo
ndiyo bora zai
di na ndiyo yenye mwisho mwema.}
[Sura [4] An-
Nisa’59].
Na kwa sababu hii, imewajibika kwa kila mw
enye kuunasihi umma
wake, mpenda umoja na kuungana
, ajitahidi
kwa kadri ya uwezo wake
kuunganisha umma "katika haki", na kuurejesha kama ulivyokuwa hapo
zamani (kiitikadi, kisheria na kitabia), ili
kufuata kauli ya Allah Mtukufu:
{Na shikamaneni kwa Kamba
ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala
msifarikiane...
}.
[Sura [3] Aal
-‘Imran 103].
Miongoni mwa sababu muhimu
zinazoharakisha jambo hili ni:
Kuwapa mwangaza watu wa makundi yanayokhalifu wito wa Kitabu na
Sunna, hasa katika yale wan
ayoyakosea,
kuya
kengeuka na ku
wa
wekea
kizuizi kati yao na uongofu
wa
kushikamana na jamaa ya Waislamu.
Na kutokana na hilo, imeibuka fikra ya kukusanya hoja na maswali
haya
yanayoelekezw
a kwa
vijana wa kundi la Shia
Ithnasheria
. Huenda
yakachangia kuwarejesha katika haki wale weny
سليمان بن الله الخراشي -
سليمان بن صالح الخراشي التميمي هو كاتب سعودي سلفي، له كتب ومقالات وتحقيقات في نقد العَلْمانية والصوفية، والإخوان المسلمين.
مؤلفاته

المستدرك علي معجم المناهي اللفظية
سرقات حسن فرحان المالكي
شيخ الإسلام ابن تيمية لم يكن ناصبيا
انتحار إسماعيل أدهم

❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ Maswali YaliyowaongozaVijana wa Kishia Kuingia Katika Haki ❝ ❱
من كتب إسلامية باللغة السواحلية كتب إسلامية بلغات أخرى - مكتبة كتب إسلامية.

نبذة عن الكتاب:
Maswali YaliyowaongozaVijana wa Kishia Kuingia Katika Haki

2006م - 1445هـ
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, aliyesema:
{Na kwa
hak
ika hii ndiyo Njia yangu Iliyonyooka.
Basi ifuateni, wala msifuate njia
nyingine,
zikakutengeni na Njia yake...
}
. [Sura [6] Al
-An‘aam 153].
Na
Rehema na
amani ziwe juu ya Mtume
wake wa mwisho
, aliyesema:
"Kwa hakika Bani Israeli waligawanyika makundi
sabini na moja, na
umma wangu utagawanyika makundi sabini na tatu. Makundi yote
yataingia motoni ispokuwa kundi moja." Akaulizwa: Ewe Mjumbe wa
Allah, ni kundi gani hilo? Mtume
(S.
A.W.
) akasema: Hilo ndi
lo kundi
am
balo
nimo mimi na Maswahaba
zangu
leo hii".
(
0F
1)
Ama baada ya haya:
Kwa hakika Allah
- kwa matakwa yake –
ametaka
Waislam
u
wagawanyike na kuwa makundi na madhehebu mbalimbali, wakifanyiana
uadui na vitimbi wao kwa wao, kwa kufanya hivyo wanakhalifu amri ya
Allah ya kurejesha tofauti zao katika kitabu cha Allah na Sunna za
Mtume
wake,
Rehema na
amani ziwe juu yake,
pale Allah
aliposema:
{...Na mkizozana katika jambo basi lirudisheni kwa Mwenyezi
Mungu na
Mtume
, ikiwa mnamuamini Mwenyezi Mungu na
Siku ya Mwisho. Hayo
ndiyo bora zai
di na ndiyo yenye mwisho mwema.}
[Sura [4] An-
Nisa’59].
Na kwa sababu hii, imewajibika kwa kila mw
enye kuunasihi umma
wake, mpenda umoja na kuungana
, ajitahidi
kwa kadri ya uwezo wake
kuunganisha umma "katika haki", na kuurejesha kama ulivyokuwa hapo
zamani (kiitikadi, kisheria na kitabia), ili
kufuata kauli ya Allah Mtukufu:
{Na shikamaneni kwa Kamba
ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala
msifarikiane...
}.
[Sura [3] Aal
-‘Imran 103].
Miongoni mwa sababu muhimu
zinazoharakisha jambo hili ni:
Kuwapa mwangaza watu wa makundi yanayokhalifu wito wa Kitabu na
Sunna, hasa katika yale wan
ayoyakosea,
kuya
kengeuka na ku
wa
wekea
kizuizi kati yao na uongofu
wa
kushikamana na jamaa ya Waislamu.
Na kutokana na hilo, imeibuka fikra ya kukusanya hoja na maswali
haya
yanayoelekezw
a kwa
vijana wa kundi la Shia
Ithnasheria
. Huenda
yakachangia kuwarejesha katika haki wale weny .
المزيد..

تعليقات القرّاء:

Sifa  njema  zote  ni  za  Mwenyezi  Mungu,  aliyesema:
{Na  kwa  
hak
ika hii ndiyo Njia yangu Iliyonyooka.
 Basi ifuateni, wala msifuate njia
nyingine,
  zikakutengeni  na  Njia  yake...
}
.  [Sura  [6]  Al
-An‘aam  153].
  Na
Rehema  na
amani  ziwe  juu  ya  Mtume
  wake  wa  mwisho
,  aliyesema:
"Kwa  hakika  Bani  Israeli  waligawanyika  makundi
  sabini  na  moja,  na  
umma   wangu   utagawanyika   makundi   sabini   na   tatu.   Makundi   yote
yataingia  motoni  ispokuwa  kundi  moja."  Akaulizwa:  Ewe  Mjumbe  wa  
Allah,  ni  kundi  gani  hilo?  Mtume
  (S.
A.W.
)  akasema:  Hilo  ndi
lo  kundi  
am
balo
 nimo mimi na Maswahaba
zangu
leo hii".
(
0F
1)
Ama baada ya haya:
Kwa  hakika  Allah
  -  kwa  matakwa  yake  –
  ametaka
Waislam
u
wagawanyike na kuwa makundi na madhehebu mbalimbali, wakifanyiana
uadui na vitimbi wao kwa wao, kwa kufanya hivyo wanakhalifu amri ya
Allah  ya  kurejesha  tofauti  zao  katika  kitabu  cha  Allah  na  Sunna  za  
Mtume
  wake,
  Rehema  na
amani  ziwe  juu  yake,
  pale  Allah
  aliposema:
{...Na mkizozana katika jambo basi lirudisheni kwa Mwenyezi
 Mungu na
Mtume
,  ikiwa  mnamuamini  Mwenyezi  Mungu  na
Siku  ya  Mwisho.  Hayo  
ndiyo bora zai
di na ndiyo yenye mwisho mwema.}
 [Sura [4] An-
Nisa’59].
Na kwa sababu hii, imewajibika kwa kila mw
enye kuunasihi umma
wake,  mpenda  umoja  na  kuungana
,  ajitahidi  
kwa  kadri  ya  uwezo  wake  
kuunganisha  umma  "katika  haki",  na  kuurejesha  kama  ulivyokuwa  hapo  
zamani (kiitikadi, kisheria na kitabia), ili
kufuata kauli ya Allah Mtukufu:
{Na  shikamaneni  kwa  Kamba  
ya  Mwenyezi  Mungu  nyote  pamoja,  wala  
msifarikiane...
}.
 [Sura [3] Aal
-‘Imran 103].
Miongoni  mwa  sababu  muhimu
zinazoharakisha  jambo  hili  ni:  
Kuwapa  mwangaza  watu  wa  makundi  yanayokhalifu  wito  wa  Kitabu  na  
Sunna,  hasa  katika  yale  wan
ayoyakosea,
  kuya
kengeuka  na  ku
wa
wekea
kizuizi kati yao na uongofu
wa
 kushikamana na jamaa ya Waislamu.
Na kutokana na hilo, imeibuka fikra ya kukusanya hoja na maswali
haya
yanayoelekezw
a  kwa
vijana  wa  kundi  la  Shia
  Ithnasheria
.  Huenda
yakachangia  kuwarejesha  katika  haki  wale  weny
e  akili  m
iongoni  mwao,  
kama  watazitafakari
  hoja  na  maswali  haya,  ambayo  hayana  upenyo  wa  
kuyakwepa
 na kuj
itakasa nayo ila kwa kukubali w
ito
wa
kushikamana na
Kitabu na Sunna vi
sivyokuwa na kupingana
.  
1
  Sahihi Al
-Tirmidhiyyu ya Albani (2129). Pia tazama maelezo juu ya hadithi hii kiriwaya na kidiraya
katika  risala  ya  Sheikh  Sulaim  Al
-Hilaaliyyu  "Dar`u  al
-irtibaabi  an  hadiith  maa  anaa  alayhi  wal
-
asw`haabu" Kuondoa shaka juu
ya hadithi –
 (..ambalo nimo mimi na Maswahaba zangu kwa sasa).
3
Kwa  hakika  yamenipendeza  mno  yale  aliyoyafanya  mmoja  wa
ndugu wa Kishia aliyeongoka na kuingia
katika
haki
(2)
 pale alipoeleza juu
ya  uzoefu  alioupata  kwa  kuhama  kutoka  katika  Upotevu  kwenda  katika  
uongofu,
katika
    kitabu    alichokichagulia    jina    mwafaka    nalo    ni:
"Nimefaidika
  na
Maswahaba..
Wala
 sijahasirika
na
Aa
li Al-
baiti"!
Kwa hakika
amewafikis
hwa
– Mola
amthibitishe
 – katika uchaguzi
huu.  Kwa  sababu  Muislamu  wa  kweli  haoni  
tabu
  kukusanya  baina  ya  
mapenzi ya Aali Al
-baiti na
Maswahaba
– Mola
awaw
ie radhi wote.
Na   huyu   ndugu,   kwa   jambo   lake   hilo,
   ananikumbusha
   yule
Mnasara   aliyesilimu,
   na   kutunga   kitabu   kwa   anuani:   "
Nimefaidika
Muhammad.. wal
a sijahasirika na Issa"
 Amani iwe juu yao.
Baada ya haya, napenda ijulikane kuwa mimi nimechagua aghlabu
ya mswali na hoja hizi kutoka katika majukwaa ya wavuti
– na hasa
hasa
jukwaa  la  kuihami  Sunna.  
Kisha
  nikaongezea  kias
i  kikubwa  cha  hoja  
nilizozisoma
katika      vitabu      vilivyozungumzia      Mashia.      Ki
sha
nikazirekebisha  na  kuz
iweka  pamoja  kwa  mtindo  mmoja.   
Na
mi  sina  
lolote   katika   kazi   hii   zaidi   ya   kuikusanya   na   kuirekebisha,
   Huk
u
namuomba   Allah   awanufaishe   kwa   kazi   hii   wale   watakaoafikiwa   
miongoni mwa vijana wa Kishia, na aijalie iwe funguo ya heri kwao, na
mwisho   nawakumbusha   kuwa:   kurejea   katika   haki   ni   bora   kuliko   
kung`ang`ania  batili.  Na  kwa  hakika  mtu  mmoja  miongoni  mwa  Mashia
akishikamana  na  Sunna
,  kuzifurahia  na  kuzinusuru,  huenda  akawazidi  
kimalipo  na  cheo  maelfu  ya  Wasunni  wanaofuata  batili,  wanaokengeuka  
na
kui
acha
dini
yao,  wana
opumbazika  katika  matamanio  ya  nafsi,  au  
waliotumbukia katika shubuhati (utata wa kupoteza), Na  Allah  anasema:  
(Anaye
kufuru   basi   ukafiri   wake   utakuwa   juu   yake   mwenyewe,   na   
anayetenda  mema,  basi  wanazitengezea  nafsi  zao)
.  [Sura  [30]  Ar-
Rum
44].
Allah  ndio  mjuzi.
  Rehema  na
amani  ziwe  kwa  Mtume
  wetu
Muhammad,
Aali
 zake
na
Maswahaba
zake.
Imeandikwa na / Abuu Musw
-aabi    .



سنة النشر : 2006م / 1427هـ .
حجم الكتاب عند التحميل : 453.8 كيلوبايت .
نوع الكتاب : pdf.
عداد القراءة: عدد قراءة Maswali YaliyowaongozaVijana wa Kishia Kuingia Katika Haki

اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني
و يمكنك تحميله من هنا:

تحميل Maswali YaliyowaongozaVijana wa Kishia Kuingia Katika Haki
شكرًا لمساهمتكم

شكراً لمساهمتكم معنا في الإرتقاء بمستوى المكتبة ، يمكنكم االتبليغ عن اخطاء او سوء اختيار للكتب وتصنيفها ومحتواها ، أو كتاب يُمنع نشره ، او محمي بحقوق طبع ونشر ، فضلاً قم بالتبليغ عن الكتاب المُخالف:

برنامج تشغيل ملفات pdfقبل تحميل الكتاب ..
يجب ان يتوفر لديكم برنامج تشغيل وقراءة ملفات pdf
يمكن تحميلة من هنا 'http://get.adobe.com/reader/'

المؤلف:
سليمان بن الله الخراشي - Sulaiman ibn al Kharashi

كتب سليمان بن الله الخراشي سليمان بن صالح الخراشي التميمي هو كاتب سعودي سلفي، له كتب ومقالات وتحقيقات في نقد العَلْمانية والصوفية، والإخوان المسلمين. مؤلفاته المستدرك علي معجم المناهي اللفظية سرقات حسن فرحان المالكي شيخ الإسلام ابن تيمية لم يكن ناصبيا انتحار إسماعيل أدهم ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ Maswali YaliyowaongozaVijana wa Kishia Kuingia Katika Haki ❝ ❱. المزيد..

كتب سليمان بن الله الخراشي

كتب شبيهة بـ Maswali YaliyowaongozaVijana wa Kishia Kuingia Katika Haki:

قراءة و تحميل كتاب Al kashaafu Mwangaza Katika Adabu Za Itikafu PDF

Al kashaafu Mwangaza Katika Adabu Za Itikafu PDF

قراءة و تحميل كتاب Al kashaafu Mwangaza Katika Adabu Za Itikafu PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo PDF

Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo PDF

قراءة و تحميل كتاب Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب الاربعون نوويه Hadist Arba rsquo in Nawawiyah PDF

الاربعون نوويه Hadist Arba rsquo in Nawawiyah PDF

قراءة و تحميل كتاب الاربعون نوويه Hadist Arba rsquo in Nawawiyah PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب The Islamic Awakening: Important Guidelines PDF

The Islamic Awakening: Important Guidelines PDF

قراءة و تحميل كتاب The Islamic Awakening: Important Guidelines PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب Dawah To Christians PDF

Dawah To Christians PDF

قراءة و تحميل كتاب Dawah To Christians PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب Fata wa Về Nhịn Chay B ugrave PDF

Fata wa Về Nhịn Chay B ugrave PDF

قراءة و تحميل كتاب Fata wa Về Nhịn Chay B ugrave PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب Dawah Training Course PDF

Dawah Training Course PDF

قراءة و تحميل كتاب Dawah Training Course PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha PDF

Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha PDF

قراءة و تحميل كتاب Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha PDF مجانا